Saturday, August 11, 2012

Kwaya ya Mt. Thomas wa Akwno katika uinjilishaji katika parokia ya mt. Maria Consolata - Chuo Kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA) Morogoro

Wanakwaya wakiimba nyimbo katika Ibada

Mpiga kinanda naye alikuwa mahiri kuwaongoza wanakwaya

Wanakwaya wakiimba nyimbo katika Ibada

Kwaya katika Uinjilishaji

Kwaya katika uinjilishaji katika kanisa la mtakatifu Maria Consolata Chuo Kukuu Cha Kilimo Sokoine (SUA) (Picha na AJ Churi)

Mwenyekiti wa kwaya ya Mt. Thomas wa Akwino Akitoa Shukrani katika kanisa la Mtakatifu Maria Consolata Sokoine University of Agriculture (Picha na AJ Churi)

Friday, July 20, 2012

Siku kuu ya vijana katika kigango cha Mt Bakita Nane nane Morogoro

Waumini wakiingia kanisani tayari kwa ibada huku wasimamizi wakiwaongoza kutokana na utaratibu uliopangwa

Muumini akiingia kanisani tayari kwa ibada


Ibada ya misa imeshaanza

Injili ikisomwa (Picha na AJ Churi)

Habari njema ikisomwa (Picha na AJ Churi)

Kwaya ya Vijana ikipambwa na watoto wa Kipapa wakiimba katika ibada ya Misa (Picha na AJ Churi)

Kwaya ya Vijana (viwawa - bakita nanenane) ikipambwa na watoto wa Kipapa wakiimba katika ibada ya Mis(Picha na AJ Churi)

Thursday, June 28, 2012

Kanisa la kigango cha Mt. Josephine Bakita Kabla na Baada ya Kuezekwa. Tunawashukuru wote kwa michango yao. Mungu awabariki


    Shukrani kwa shirika la Sigmatini Morogoro kwa msaada wao wa mbao za kuzeekea! (Picha na AJ Churi)



    Kazi ya ujenzi wa kanisa ikiendelea kwa kasi nzuri kutokana na misaada toka kwa waumini wenyewe pamoja na majirani zetu (Picha na AJ Churi)

Ibada ya Misa: Kwenye kanisa jipya kabla hata ya kuezekwa paa!

Kwaya yetu wa vijana katika kuinjilisha kwa kuimba katika kanisa la Mt. Josephine Bakita Nanenane (Picha na AJ Churi)

Waumini wa kanisa la Mt. Josephine Bakita Nanenane Morogoro Mjini (Picha na AJ Churi)


Kiongozi wetu wa kiroho katika kazi ya utume (Picha na AJ Churi)

Kiongozi wetu wa kiroho katika kazi ya kitume (Picha na AJ Churi)

Siku kuu ya Ekaristi Takatifu 2011

Kwaya yetu ya kigango ya Mt. Thomas wa Akwino wakiwashirikisha waumini kwa nyimbo za Ekaristi Takatifu (Picha na AJ Churi)

Watoto hatuko nyuma kumtumikia Mungu (Picha na AJ Churi)

Watoto wa kipapa katika kigango cha Mt. Josephine Bakita, Nanenane Morogoro, Tanzania (Picha na AJ Churi)

Watoto wa kipapa wakishiriki kupamba kwa kumwaga maua kwenye maandamano ya Ekaristi Takatifu (Picha na AJ Churi)

Maandamano ya Ekarist Takatifu (Picha na AJ Churi)

Padre mlezi pamoja na timu yake katika ibada (Picha na AJ Churi)

Waumini wakishiriki kikamilifu ibada ya ekaristi takatifu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Alfagem Morogoro Tanzania (Picha na AJ Churi)