Thursday, June 28, 2012

Kanisa la kigango cha Mt. Josephine Bakita Kabla na Baada ya Kuezekwa. Tunawashukuru wote kwa michango yao. Mungu awabariki


    Shukrani kwa shirika la Sigmatini Morogoro kwa msaada wao wa mbao za kuzeekea! (Picha na AJ Churi)



    Kazi ya ujenzi wa kanisa ikiendelea kwa kasi nzuri kutokana na misaada toka kwa waumini wenyewe pamoja na majirani zetu (Picha na AJ Churi)

Ibada ya Misa: Kwenye kanisa jipya kabla hata ya kuezekwa paa!

Kwaya yetu wa vijana katika kuinjilisha kwa kuimba katika kanisa la Mt. Josephine Bakita Nanenane (Picha na AJ Churi)

Waumini wa kanisa la Mt. Josephine Bakita Nanenane Morogoro Mjini (Picha na AJ Churi)


Kiongozi wetu wa kiroho katika kazi ya utume (Picha na AJ Churi)

Kiongozi wetu wa kiroho katika kazi ya kitume (Picha na AJ Churi)

Siku kuu ya Ekaristi Takatifu 2011

Kwaya yetu ya kigango ya Mt. Thomas wa Akwino wakiwashirikisha waumini kwa nyimbo za Ekaristi Takatifu (Picha na AJ Churi)

Watoto hatuko nyuma kumtumikia Mungu (Picha na AJ Churi)

Watoto wa kipapa katika kigango cha Mt. Josephine Bakita, Nanenane Morogoro, Tanzania (Picha na AJ Churi)

Watoto wa kipapa wakishiriki kupamba kwa kumwaga maua kwenye maandamano ya Ekaristi Takatifu (Picha na AJ Churi)

Maandamano ya Ekarist Takatifu (Picha na AJ Churi)

Padre mlezi pamoja na timu yake katika ibada (Picha na AJ Churi)

Waumini wakishiriki kikamilifu ibada ya ekaristi takatifu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Alfagem Morogoro Tanzania (Picha na AJ Churi)