Kwaya yetu ya kigango ya Mt. Thomas wa Akwino wakiwashirikisha waumini kwa nyimbo za Ekaristi Takatifu (Picha na AJ Churi) |
Watoto hatuko nyuma kumtumikia Mungu (Picha na AJ Churi) |
Watoto wa kipapa katika kigango cha Mt. Josephine Bakita, Nanenane Morogoro, Tanzania (Picha na AJ Churi) |
Watoto wa kipapa wakishiriki kupamba kwa kumwaga maua kwenye maandamano ya Ekaristi Takatifu (Picha na AJ Churi) |
Maandamano ya Ekarist Takatifu (Picha na AJ Churi) |
Padre mlezi pamoja na timu yake katika ibada (Picha na AJ Churi) |
Waumini wakishiriki kikamilifu ibada ya ekaristi takatifu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Alfagem Morogoro Tanzania (Picha na AJ Churi) |
No comments:
Post a Comment