Kanisa la kigango cha Mt. Josephine Bakita Kabla na Baada ya Kuezekwa. Tunawashukuru wote kwa michango yao. Mungu awabariki
Shukrani kwa shirika la Sigmatini Morogoro kwa msaada wao wa mbao za kuzeekea! (Picha na AJ Churi)
Kazi ya ujenzi wa kanisa ikiendelea kwa kasi nzuri kutokana na misaada toka kwa waumini wenyewe pamoja na majirani zetu (Picha na AJ Churi)
No comments:
Post a Comment