Waumini wakiingia kanisani tayari kwa ibada huku wasimamizi wakiwaongoza kutokana na utaratibu uliopangwa |
Muumini akiingia kanisani tayari kwa ibada |
Ibada ya misa imeshaanza
Injili ikisomwa (Picha na AJ Churi) |
Habari njema ikisomwa (Picha na AJ Churi)
Kwaya ya Vijana ikipambwa na watoto wa Kipapa wakiimba katika ibada ya Misa (Picha na AJ Churi)
Kwaya ya Vijana (viwawa - bakita nanenane) ikipambwa na watoto wa Kipapa wakiimba katika ibada ya Misa (Picha na AJ Churi)
No comments:
Post a Comment